
Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira Muda huu



Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa wanashuhudia Mafuriko hayo muda huu

Gari Likiwa limekwama katika tope lililotokana na Mafuriko hayo, hili ni eneo la Bujonde

Picha kwa Hisani ya Kaka yetu mdau Mkubwa Felix Mwakyembe
Na Mbeya yetu
إرسال تعليق