Pombe siyo Maji!!! TAZAMA ZILIVYOMFANYA POLISI HUYU MKESHA WA PASAKA HUKO GEITA

 Ukisikia pombe siyo maji ,ukweli inabidi ubaki pale pale,pichani ni sajenti wa jeshi la polisi katika kituo cha polisi wilayani Geita aliyejulikana kwa jina moja la Geradi akiwa amelewa chakali kwenye eneo karibu na barabara kuu itokayo Geita kwenda Mwanza akiwa hajitambui siku ya mkesha wa pasaka kama unavyoona hapo pichani kamera za mwandishi wetu kutoka mkoani Geita zilivyomnasa


Pombe bwana!!,tumia kiasi.......
Imecotwa: malunde web

Post a Comment

Previous Post Next Post