Ofisa
muendeshaji wa Mfuko wa Pesheni wa Mashirika ya Umma (PSPF), Bw. Hadji
Jamadary (kushoto) akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa
maaadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya
Mnazi Mmoja Dar es salaam.
Ofisa
muendeshaji wa PSPF, Hadji Jamadary (kushoto) akiwapatia maelezo ya
jinsi ya kujiunga na PSPF wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na
afya kazini yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam.
Afisa
Muendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PSPF) Bw. Lule
Kasembwe (kushoto) akitoa maelekezo kwa wazee waliotembelea banda lao
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja.
إرسال تعليق