Rihanna ajiunga na mamilioni ya watu duniani kusherehekea siku maalum ya bangi - Picha

article-2609111-1D3A6AF300000578-948_634x634Rihanna hajawahi kuficha mapenzi yake kwa mmea wa bangi na hivyo halikuwa jambo gumu kujiunga na mamilioni ya wavutaji wengine duniani kwenye siku maalum ya bangi April 20. Siku hiyo kila mwaka imetengwa na wavutaji wa bangi kuonesha mapenzi yao kwa mmea huo.
Tazama baadhi ya picha za Rihanna akiutukuza mjani kwa njia mbalimbali.
article-2609111-1D3A9DB600000578-376_634x799
article-2609111-1D3A786F00000578-805_634x630
article-2609111-1D3AA68E00000578-125_634x634
article-2609111-1D3AA69B00000578-821_634x769

Post a Comment

أحدث أقدم