Serikali yatenga zaidi ya bilioni 29 ili kuwawezesha wabunge wa bunge maalum la katiba.
Hisia0
Serikali yatenga zaidi ya Shilingi Bilioni 29 ili kuwawezesha zaidi
ya wajumbe 620 wa bunge maalum la katiba kuketi na kujadili sura 17 za
rasimu ya katiba mpya.
Taarifa hii imetolewa na page ya facebook ya Clouds TV.
إرسال تعليق