SHOWROOM YA MAGARI YAUNGUA JIJINI DAR

Magari yakiwa yameteketea kwa moto.
Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Sam Nujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.
PICHA NA OTHMAN MICHUZI

Post a Comment

Previous Post Next Post