Magari yakiwa yameteketea kwa moto.
Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Sam Nujoma
jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo
bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo
hakijafahamika.

Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.
PICHA NA OTHMAN MICHUZI
PICHA NA OTHMAN MICHUZI
إرسال تعليق