Top in Dar aka Mnyama anatarajia kuachia single mpya
aliyomshirikisha Jay Moe. Single hiyo ambayo itatoka Ijumaa hii inaitwa
‘Chumvini’.
Hivi karibuni muimbaji huyo mkongwe na kiongozi wa Top Band ambaye
jina lake halisi ni Khalid Mohamed, aliachia video mbili kwa mpigo
ikiwemo ya wimbo alimshirikisha Profesa Jay ‘Raha’.
إرسال تعليق