Mchungaji Peter Msigwa kushoto akijadiliana Jambo na Naibu waziri wa Sheria na Katiba Mhe Angellah Jasmine Kairuki.
Wajumbe Profesa Ibrahim Lipumba na Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu wakijadiliana jambo

![]() |
| M/kiti wa kamati namba mbili Mhe.Shamsi Vuai Nahodha akiwasilisha taarifa za kamati namba mbili leo katika bunge maalum |
![]() |
| Mheshimiwa Ismail Jusa Ladhu akimwonyesha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema |
![]() |
| Mhe Profesa Mark Mwandosya kushoto akitafakari jambo na Mhe.Paul Makonda wakati wa uwasilishaji wa maoni ya kamati mbalimbali katika kikao cha Bunge maalum leo. |

Wabunge wakigawiwa mapendekezo ya kamati mbali mbali kati yakumi nambili wakati wakikao leo cha Bunge maalum leo.



Post a Comment