Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid (kulia) akimkabidhi Meneja
Vipaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lillian Makau cheti cha
shukurani cha kutambua ushiriki wa kampuni hiyo katika mapambano dhidi
ya Malaria nchini, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani,
jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Balozi wa Malaria
Tanzania, Leodegar Tenga.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-ey_CwshzFk6W9-iaiAkcpvhXLiylp4jlAlR-vsDEAqF7aHraMbhDIy72v7pJbB8uRR5QUXmT3NxTdqDKxryhnenWl-JAhJ2dqEL0oIgNjeiLL41Lnnw2cT0MUpHbDmYh0pTjZXSMBDmR/s1600/IMG_6823.jpg)
Katibu
wa Afya wa TBL (katikati), akitoa maelezo jinsi kampuni yake
ilivyojidhatiti kutoa elimu na tiba ya malaria kwa wafanyakazi pamoja na
wananchi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhWKUKr1BWwEzbSK_LPhhoBDUVxpXgjTm6qjklvDGMLQ7SOi_XhDgaHNfhtcPRyQEW9SN6MkXKj6FMPe1fauXBvZGxZblKF3kEKX6FvWTmfZjeleWsoug_iLsWzJL_kB4N32FA8qI5Z80Lp/s1600/IMG_6827.jpg)
Katibu
wa Afya wa TBL (katikati), akitoa maelezo jinsi kampuni yake
ilivyojidhatiti kutoa elimu na tiba ya malaria kwa wafanyakazi pamoja na
wananchi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh6ALVprMUHgekYL8zQHpxsvnu_hJ9qL4evArmmA53G49KurC8Lst1JmdOvp3CfSC_P3v6EUI3DIqlUVbitwiukfiE7UEBADgnfoBkiGFvpJAf4ZzAQKYwJByAypoVdQlpKibMIj-RQ2tfZ/s1600/IMG_6829.jpg)
Wananchi wakiwa katikasherehe za maadhimisho ya hayo kwenye Hoteli ya Kilimanjaro, Dar es Salaam.
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled61.jpg)
Makau akielezea mikakati ya TBL ya kuisaidia jamii na wafanyakazi katika mapambano dhidi ya Malaria.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmqyg7zav_ZfoXsD-KE2B2rrWElODUCcnhIShtqHrrh0Ku5i5So5DgC2z-3KBDm0sqUif2pLhfekQxMEhYfMaIem58AsEDjJefdIn8or93HffF5obWQdn47QqKUA1zemcSjLSPTdDryDRt/s1600/IMG_6831.jpg)
Wageni waalikwa wakiwa katika maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihxUxWGdzvbBciJq9ZwAg4XaJoGhCkP_jGiKx3zfZ62GWxgsNNiqEIoP7VGuMzZNoVX7knJv5_mGOH63ecor7eoxJGj5mTm6FpAjy_wUwQPtIf-P7DSOQQBQ9IPqqcDK3k_6pnjzlxchGs/s1600/IMG_6855.jpg)
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid , akimkabidhi Meneja Vipaji
wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Lillian Makau (kulia) jinsi kampuni
hiyo inavyoshiriki katika mapambano dhidi ya malaria kwa kuisaidia jamii
na wafanyakazi wake, alipotembelea banda la TBL wakati wa maadhimisho
ya Siku ya Malaria Duniani, Dar es Salaam jana. Katikati ni Katibu wa
Afya wa TBL, James Lyimo. Wa pili kulia ni Meneja Uhusiano wa TBL,
Editha Mushi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6CDNKsnZ_c6kGo1K6NMQAu2ej2ZCP0kyHlSQWm3BJ1effNHNVwFl1AyWe2iJ63GJeLPvYZaO0oB_Loh3D2z4BrQ07TJHGlFUCK5FCwpT7CPVMTF3FCh7dNu-wdkX2tonn6-ar2HjMU_Ok/s1600/IMG_6865.jpg)
Katibu wa Afya wa TBL, James (kushoto) akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa TBL, Editha Mushi wakati wa maadhimisho hayo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpWc5XnwRmtlMMKw8NvXUUWzQBKPbS5YMgKI3NdEORnssbbws5mc5CHaI0Kj5CMgLY7ZSexkp1LSEgl3mbjb0F9DpkMaoGBu8P3EFiXABNueFCRthx2fScKZfnPHTrhzCnDZmLbkaku73R/s1600/IMG_6911.jpg)
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid akiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa taasisi mbalimbali zinazoshirikiana na serikali
katika mapambano dhidi ya Malaria nchini.Mstari wa mbele kutoka kulia ni
Athuman Mfutakamba, Waziri Dk. Rashid Balozi wa Malaria nchini,
Leodgar Tenga.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
إرسال تعليق