الصفحة الرئيسيةSIASA UKAWA waikataa hati ya muungano. Hisia أبريل 20, 2014 0 Umoja wa katiba ya wananchi-UKAWA- ambao unawaunganisha wabunge wa upinzani ndani ya bunge la katiba wamekutana Zanzibar na kutoa tamko la kuikataa hati ya muungano kuwa ni batili na hawana mpango wa kurudi bungeni hadi kieleweke.
إرسال تعليق