video - Kongamano lililofanyika Bwawani na Makamishina wa Tume ya Katiba

 

Zilizopachikwa kwenye playlist hapo chini ni video za kongamano na Makamishina wa Tume ya Katiba Mpya, lililoandaliwa na "Kamati ya Maridhiano" lililofanyika katika ukumbi wa Salama katika hoteli ya Bwawani, mjini Unguja, Zanzibar tarehe 6 Aprili 2014.

Post a Comment

أحدث أقدم