WATOTO WALIVYOADHIMISHA KANUMBA DAY NDANI YA DAR LIVE.

 

Watoto wakiburudika na burudani katika kumbukumbu ya Kanumba Day ndani ya Dar Live.
Watoto wakishindana kucheza wimbo wa Majanga wa msanii Snura Mushi.
Mshereheshaji wa shughuli hiyo akiwaburudisha watoto ndani ya Dar Live.
Kijana Patrick aliyekuwa akiigiza filamu na marehemu Kanumba (kushoto) akijiandaa kuchuana na dada aliyepanda stejini.
Mmoja wa watoto aliyepanda stejini akielezea malengo yake ya baadaye ambapo anatamani kuwa mwigizaji.
Mmoja wa watoto akitoa burudani kwa wenzake.
Kijana Patrick akiwa katika pozi.
(PICHA: SHANI RAMADHANI, GABRIEL NG'OSHA, MAYASA MARIWATA NA DENIS MTIMA / GPL)

Post a Comment

Previous Post Next Post