
The
Wu-Tang Clan kundi la muziki wa HIP HOP kutoka mji wa NEW YORK nchini
AMERICA ambalo limeunganisha EAST COAST rappers RZA, GZA, Method Man,
Raekwon, Ghostface Killah, Inspectah Deck, U-God, Masta Killa na
Marehemu Ol’ Dirty Bastard. Kundi hili lilitengenezwa na kuwa na
mahusioano na “New York City Borough of Staten Island”, ambapo U-God,
Method Man, RZA, Ghostface Killah na Raekwon ambao walikua wananjitambua
kama wanachama wa “Shaolin” pamoja na kuwa wanachama wingine walikua
wakitoka Brooklyn NY kama marehemu “Ol Dirty Bastard, GZA na Masta Killa
na mara nyingi sana walikua wakiungana na rafiki wa utotoni “Childhood
Friend” rapper kutoka huko huko America “Cappadonna”.

Baada ya kimya cha muda mrefu kundi la
Hip Hop la Wu-Tang Clan’s wameamua kutoa wanachoita “a Secret Album”
ambayo ipo tayari kwenye “MNADA” wa kuuzwa mara moja tu ambapo kuna
wadau wengi na wakubwa wameishaidandia na kupanda “DAU”, baada ya kusema
kuwa wao watauza master copy tu ya album hiyo ijulikanayo kama ”Once
Upon A Time In Shaolin” itauzwa kwa yule atakaekuja na dau kubwa na
kuchukua album hiyo na kuwa ya kwake ambapo mpaka sasa OFA zimekuja
kuanzia Dola Milioni Mbili ($ 2 MIILION) na kuna mtu ambae ameahidi
kuichukua kwa Dola Milioni Tano ($ 5 Million) ila bado wanaendelea
kusubiri kama atatokea MDAU mwingine atakaepanda zaidi ya hapo.
RZA ambae ni kiongozi wa kundi hilo alisika hivi karibuni akizungua na Billboard kuwa:
“Offers came in at $2 million, somebody
offered $5 million yesterday. So far, $5 million is the biggest number. I
don’t know how to measure it, but it gives us an idea that what we’re
doing is being understood by some. And there are some good peers of mine
also, who are very high-ranking in the film business and the music
business, sending me a lot of good will. It’s been real positive.”
Kundi hili bado halijatangaza rasmi lini
wataachia ALBUM hiyo, ila kwa sasa watakua wanaonyesha kazi zao na
kazi yao hiyo (Showcasing the LP in Museums) kwenye Makumbusho mbali
mbali, Matamasha (Festivals), Maonyesho (Galleries) duniani kite kabla
hawajatangaza lini wataachia album hiyo kwenye Mauzo (SALE)
إرسال تعليق