WASANII
Nay wa Mitego, Barnabas na Vanessa Mdee wakizundua huduma ya vifurushi
vya Internet vya kampuni ya simu za mkononi ya Airtel katika hotel ya
Hyatt Kempinsky Kilimanjaro Hotel usiku huu, Mei 21, 2014.


DJ
Choka (kushoto) akielezea sifa za simu aina ya Samsung S5 ambazo
zilitolewa kama zawadi kwa washindi mbalimbali wa papo kwa papo. Kulia
ni B12, MC wa event hiyo.
Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Bw, Levi Nyakundi, akieleza machache kuhusu huduma ya Switch On inayotolewa na kampuni yake.
Mtangazaji maarufu wa ITV, Godwin Gondwe,naye aki Switch On simu yake
...wadau waaikwa wakifuatilia uzinduzi huo
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliokula shavu wa kufanya matangazo ya Switch On ya Airtel, Nay, Vanessa na Barnabas (kulia).
PICHA: MUSSA MATEJA/GPL
إرسال تعليق