Raisi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi.Dkt Ali Mohammed Shein amewavalisha vyeo maafisa wa KMKM,katika sherehe za ufungaji wa mafunzo maalum ya maafisa 97 (special Duty)mkupuo wa saba (7) katika kambi ya KMKm Kibweni wilaya ya magharibi unguja leo.
============================== =========================
DKT. SHEIN AONGOZA UFUNGAJI WA MAFUNZO YA MAAFISA KMKM LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu KMKM alipowasili katika kambi ya KMKM Kama katika ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) leo,(katikti) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Haji Omar Kheri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya hesha ya gwaride la Maafisa wakati ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la Maalum wakati wa ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiwatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya awali katika kambi ya KmKm kama leo,alipoyafunga mafunzo hayo katika mkupuo wa saba (7) wilaya ya Magharibi Unguja
.
Makamanda wa KmKm waliohudhuria katika sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja leo.
Baadhi ya wananchi walioalikwa katika hafla ya sherehe za ufungaji wa Mafunzo Maalum ya Maafisa (Special Duty) mkupuo wa saba(7) katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]






إرسال تعليق