
Kutokana
na malori mengi kuegeshwa kwenye barabara ya Mandela eneo la relini
karibu na Mwananchi kinyume cha sheria, askari wa usalama barabarani
wamelazimika kung'oa namba za usajili za malori hayo na kuondoka nazo,
kama lori hili linavyoonekana bila namba (Picha na mwandishi wa ITV)
إرسال تعليق