STAA
wa filamu za Kibongo Elizabeth Michael’Lulu’amempachika jina jipya Staa
mwenzake wa tasnia hiyo Wema Sepetu na kumuita Mrs Awards baada ya
mpenzi wake Diamond Platinumz kushinda tuzo saba za tuzo za Killi Music
Awards ailizofanyika mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa Mlimani
City,Dar.Kupitia
Account yake ya Instagram aliandika hivi na pia kumsifia msanii huyo
alivyopendeza….Naomba kuanzia Leo nikuite MRS MI AWARDS
Kha...!!!!tuachane na jina jipya bi dada....Jana ulipendezah @wemasepetu
bado kidogo unifikie bwahahhhahahaseriously ulinoga...!
Post a Comment