Hitmaker wa Jikubali, Ben Pol ambaye yupo ziarani nchini
Ujerumani, ametembelea makao makuu wa magari ya Mercedez Benz ili
kuuridhisha moyo wake.
Benpol akiwa na tolea jipya la Benz 2014
Kupitia Instagram, Ben Pol ameandika: Katika kufikiria Where else should i go to get more Inspiration, nikafikiria Kwenda Headquarter ya Mercedez Benz… München, Germany #basitu #nilienda #niliona haina tatizo moyoni.
Katika picha nyingine, Ben Pol ameandika: And this one … #NewBenz
#2014 #0.00 Km #Inspiration #MercedezBenzHeadquarter #München #Germany
#2014 BTW; Mi si Ambassador wa Mercedez Benz, I’m just showing my
Appreciation to ‘em #Wanauza #They’re Big
Katika hatua nyingine, Ben Pol ametweet:
Dj C- finest ambaye ameshafanya U-Dj kwa watu kama Omarion,
J-holiday, Lloyd banks, Game etc; Ndiye alini-Dj show yangu last night
in Munich
إرسال تعليق