
Afisa
Mikopo Michael Masakwiya akitoa ufafanuzi katika maonyesho ya vyuo vikuu
yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam

Afisa Mikopo Mwandamizi Josephat Bwathondi akitoa ufafanuzi zaidi.

Maafisa wakitoa maelezo kwa wanafunzi

Afisa Habari Mwandamizi Veneranda Malima akitoa maelezo kwa wanafunzi
Post a Comment