Vanessa Mdee na Shaa kwenye wimbo mmoja? Patamu hapo! Katika
kile ambacho kinaashiria kila dalili ya siku za usoni kuwepo collabo
kati ya waimbaji hao wenye mashabiki wengi nchini, picha aliyoiweka Shaa
kwenye Instagram, imevutia hisia za wengi waliotaka wafanye collabo.

Hata yeye mwenyewe Shaa anatamani hilo litokee. “Supporting
@vanessamdee #SwitchOn #WomenSupportingWomen #love #smile kama naona
collabo vile….haha,” aliandika Shaa kwenye picha hiyo. Mashabiki wao nao
wameona umuhimu wa waimbaji hao warembo kukutana kwenye wimbo mmoja. Na Haya Ndiyo Waliyoyasema Bofya
Post a Comment