Collabo ya Vanessa Mdee na Shaa yanukia! mashabiki walilia ifanyike - Picha

Vanessa Mdee na Shaa kwenye wimbo mmoja? Patamu hapo! Katika kile ambacho kinaashiria kila dalili ya siku za usoni kuwepo collabo kati ya waimbaji hao wenye mashabiki wengi nchini, picha aliyoiweka Shaa kwenye Instagram, imevutia hisia za wengi waliotaka wafanye collabo.
shaa
Hata yeye mwenyewe Shaa anatamani hilo litokee. “Supporting @vanessamdee #SwitchOn #WomenSupportingWomen #love #smile kama naona collabo vile….haha,” aliandika Shaa kwenye picha hiyo. Mashabiki wao nao wameona umuhimu wa waimbaji hao warembo kukutana kwenye wimbo mmoja. Na Haya Ndiyo Waliyoyasema Bofya

Post a Comment

أحدث أقدم