Diamond
“THE MTV AFRICA MUSIC AWARDS KWAZULU-NATALSUPPORTED BY ABSOLUT & THE CITY OF DURBAN”
Itafanyika Club ya Bilicanas, Dar es Salaam, 16 May
Dar es Salaam, 8 May 2014: Zikiwa zimesaliya siku chache za utoaji wa tuzo za MTV Africa Music Awards (MAMA) 2014, msanii Diamond ambae pia ni mshiriki wa tuzo hizo pamoja na msanii Professor kutoka Afrika Kusini wanatarajia kupanda jukwaani kutumbuiza katika sherehe ya uhamasishaji wa utoaji wa tuzo hizo siku ya tarehe 16 May ndani ya ukumbi wa club Bilicanas.
Mbali na wasanii hao pia kutakua na ma DJ wakali kutoka nchi mbalimbali ambao watatoa burudani katika sherehe hiyo ya uhamasishaji wa tuzo za MAMA, ma DJ hao ni pamoja na DJ Zero, DJ Steve B, DJ Mafuvu wote kutoka Tanzania na DJ Tira kutoka Afrika Kusini ambae pia ni DJ wa kituo cha Televisheni cha MTV Base.
Sherehe hizo zinalenga kuhamasisha wananchi katika kushiriki kikamilifu katika tuzo hizo na kwa nchini, zitafanyika Club Bilicanas , katika jiji la Dar es Salaam naTicket zitauzwa mlangoni kwa bei ya shilingi 15,000 kwa mtu moja, mwezi ujao wasanii wataelekea jiji Lagos Nigeria kwa ajili ya uhamasishaji.
PROFESSOR ( AFRIKA KUSINI)
Vilevile wasanii kutoka Afrika Kusini akina mafikizolo na Davido wa Nigeria wamependekezwa kwenye vipengele vingi Zaidi ya moja, wamependekezwa katika vipengele vinne muhimu, hivyo wameumana katika kuwania tuzo za msani bora wa mwaka pamoja na wimbo bora wa kushirikishwa pia.
Pia kutakua na washiriki wawili ambao ni Radio na weasel wa Uganda , na Kenya msanii Amini kupitia wimbo wake wa kiboko changu alioshirikiana na Radio and Weasel nao utashindanishwa.
MTV leadership ward, ni tuzo inayo lenga vijana wa Afrika wanaume na wanawake wenye umri mdogo mpaka miaka 40 ambao wanafanya vizuri kwenye mambo mbalimbali ikiwemo muziki biashara na science. MTV pia inatambua mafanikio ya muzkik na wana muziki ambao wana wakilisha Afrika nchini na inje ya Afrika.
MAMA 2014 itausisha wasanii wa Afrika na wa Kimataifa pamoja ikiwa pamoja na tuzo ‘sahihi kwa kushirikianakati yawasanii wamuzikinatamaduni mbalimbali.
Upigaji kura MTV Africa Awards uko wazi kwenya www.mtvbase.com kuanzia 16 April 2014 mpaka usiku wa manene 4 Juni 2014.
Kwa maelezo Zaidi juu ya MTV Afrika Muziki Awards kwaZulu –Natal, tembelea tovuti www.mtvbase.com, like us on Facebook at www.Facebook.com/MTVBaseVerified, or follow us on Twitter @MTVBaseAfrica. To join the conversation about the awards please use the hashtag #MTVMAMA.
Clouds FM is the official radio media partner of the 2014 MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal supported by Absolut & The City of Durban.
Kwa Maelezo Zaidi
For further information, high resolution imagery or downloadable video, please go to www.mtvbase.com/mini/mama14-press, or contact:
MTV/MTV Base
Maria McCloy/Alison Reid
Email: Maria.mccloy@vimn.com /Alison.reid@vimn.com
Tel: +27 11 428 2941/+33 385 300636
About the MTV Africa Music Awards
First staged in 2008, the MTV Africa Music Awards has recognised the talent of musicians from across sub-Saharan Africa, rewarding iconic artists such as 2Face Idibia, Big Nuz, HHP, P-Square, Liquideep, D’Banj, Lira, Nameless, Wahu, Fally Ipupa, Cabo Snoop, Zebra & Giraffe, and many more. The 2014 awards are open to all artists whose music videos have been accepted for airplay on MTV Base (DStv Channel 322) or MTV (DStv Channel 130) during the qualifying period 20 March 2013 to 19 March 2014.
About MTV
With a global reach of more than a half-billion households, MTV is the cultural home of the millennial generation, music fans and artists, and a pioneer in creating innovative programming for young people. With more than 60 channels seen in more than 600 million households worldwide, MTV is the world’s largest television network and the leading multimedia brand dedicated to youth culture.
About Pernod Ricard
Pernod Ricard South Africa is one of the leading spirits and wine companies in South Africa. Pernod Ricard South Africa was established in 1994 and is a part of the Global Pernod Ricard Group which holds one of the most prestigious brand portfolios in the sector including iconic brands like Absolut Vodka, Jameson Whiskey and Chivas Regal. Globally, 51 out of every 100 premium bottles sold are Pernod Ricard brands.
About KwaZulu-Natal
KwaZulu-Natal Province is South Africa’s leading tourist destination and a magnet for visitors from continental Africa and all points of the globe. Offering a unique blend of sophistication, cultural diversity and excitement in the most breath taking setting imaginable, KwaZulu-Natal is an enticing, spectacular and fascinating consumer and business tourism destination, flanked on one side by the warm Indian Ocean and – on the other – by soaring peaks.
Post a Comment