
Hatimaye walizaniwa Rihanna na Drake watabaki pamoja kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa muda mrefu lakini sivyo, Rihanna na Drake wameachana TENA. Hii sio mara yao ya kwanza kuachana kwa ajili ya mambo madogo madogo, Inaonekana Drake amechoka na kuamua kuondoka na kuendelea na maisha yake.
Wapendanao hao ambao wameripoyiwa kuachanatoka tovuti ya US weekly, Drake ndiye aliye anza kuzama katika penzi la Rihana, wakati mwanadada Rihanna hataki mwanamume mwenye mapenzi mengi, amezoea ‘Bad Boyz’ ndio anasikia starehe.
Drake hakuhudhuria Rihanna’s post Met Gala bash, kwa kitendo hicho ikaonyesha ni kweli, sababu wapenzi hao wamekuwa wakipeama sapoti ila Drake amekua akipnyesha “Distance” katika mahusiano hayo.
إرسال تعليق