Tangu amchoreshe mmiliki wa timu ya kikapu ya Marekani ya Los
Angeles Clippers, Donald Sterling kwa kauli zake za kibaguzi wa rangi,
V. Stiviano aliyekuwa girlfriend wake ametokea kupata umaarufu duniani
na sasa ofa zimeanda kugonga mlango wake.
Mmiliki wa kampuni ya Vivid Entertainment, Steve Hirsch amemtumia
barua V kumpa ofa ya kucheza movie ya porn na mastaa wa kiume maarufu
weusi kwenye kitanda cha movie za kikubwa nchini Marekani.
Hirsch amempa V masaa 24 kuamua.
إرسال تعليق