Huenda kesho Floyd Mayweather akapanda ulingoni kupambana na
bondia wa Argentina Maidana akiwa amevunjika moyo baada ya kubaini kuwa
mpenzi wake wa zamani, Shantel Jackson anatembea na rafiki yake wa
zamani, Nelly.
Shantel
Shantel na Nelly
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, ni juzi tu Floyd alibaini kuwa Shantel amekuwa karibu na rapper huyo aliyekuwa rafiki yake zamani.
Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, ni juzi tu Floyd alibaini kuwa Shantel amekuwa karibu na rapper huyo aliyekuwa rafiki yake zamani.
Chanzo kimoja kimesema Floyd anahisi kusalitiwa kwa kitendo cha
msichana huyo kuwa na uhusiano na mtu aliyekuwa rafiki yake na ndia
maana aliamua kutumia mitandao ya kijamii kumshambulia.
Miongoni mwa mambo aliyoyafanya Floyd ni kudai kuwa Shantell alitoa
ujauzito wake wa watoto mapacha japo aliamua kuitoa post hiyo.
Post a Comment