Ex wa mmiliki wa L.A Clippers, Donald Sterling apewa ofa ya kucheza movie ya kikubwa na ‘blacks’

V.-Stiviano-1Tangu amchoreshe mmiliki wa timu ya kikapu ya Marekani ya Los Angeles Clippers, Donald Sterling kwa kauli zake za kibaguzi wa rangi, V. Stiviano aliyekuwa girlfriend wake ametokea kupata umaarufu duniani na sasa ofa zimeanda kugonga mlango wake.
Mmiliki wa kampuni ya Vivid Entertainment, Steve Hirsch amemtumia barua V kumpa ofa ya kucheza movie ya porn na mastaa wa kiume maarufu weusi kwenye kitanda cha movie za kikubwa nchini Marekani.
Hirsch amempa V masaa 24 kuamua.

Post a Comment

Previous Post Next Post