Muimbaji wa Kenya na msanii wa label ya Chocolate City, Victoria
Kimani yupo tena jijini Dar es Salaam, ambapo amekuja kumalizia mradi
wake wa wimbo aliowashirikisha Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz.
Kupitia Instagram, Kimani amesema wimbo huo uitwao ‘Prokoto’ utatoka hivi karibuni.
Bofya Hapa kuangalia Kionjo
“Last night in the Studio with @ommydimpoz Haha look a those dimples tho!! “PROKOTO” is Finally done!! Look out for My next Single ft. @diamondplatnumz and @ommydimpoz DROPPING VERY SOON emoji#PROKOTO,” ameandika Kimani kwenye picha aliyopiga na Ommy Dimpoz.
Post a Comment