Hata nikishinda uchaguzi, sijiuzulu ukocha Mwadui - Julio

Jamhuri Kihwelo (Julio).

UMEMSIKIA Julio alichokisema? Huyu jamaa bana, kwa makeke, utampenda tu. Mgombea Umakamu wa Rais wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema hata kama atashinda katika uchaguzi, bado ataendelea kuwa kocha wa Mwadui FC.
Kauli ya Julio inamaanisha kuwa SOMA ZAIDI HAPA

Post a Comment

أحدث أقدم