Hatari! Kundi la Vijana wanaojiita Panya Road Wafanya Fujo Jana, Stori kamili Hipo Hapa.


CloudsFM Dar es salaam
Clouds FM Dar es salaam
Kwa mkazi yoyote wa Kigogo na Mburahati mpaka mabibo Dar es salaam ukimuuliza kuhusu vijana wanaojiita Panya Road na wanachokifanya kule atakupa majibu sahihi kuhusu kikundi hiki ambacho kinasemekena ni cha vijana wenye umri usiozidi miaka 20 wakiwa zaidi ya watu 50 ambao wanaendeleza vitendo vya kihalifu.
 Ungana na Gea Habibu kwenye hekaheka ya CloudsFM kwa kubonyeza play hapa chini ili akusimulie kilichotokea jana wakati wa vurugu hizo.

Post a Comment

أحدث أقدم