HAWA NDIO MASTAA BONGO MUVI WALIOTEMBELEA BBC, UINGEREZA
Hisia0
MASTAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ali na Wastara Juma leo wametembelea ofisi za BBC zilizopo nchini Uingereza. Wasanii hao wapo Uingereza kwa ajili ya kucheza filamu iitwayo 'Ughaibuni'. Mastaa hao waliondoka nchini wakiambatana na wenzao ambao ni Issa Musa ‘Cloud 112’ na Yvonne Cherryl 'Monalisa'.
Post a Comment