
Waziri
wa Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akiwa katika majadiliano na viongozi wa
Benki ya HSBC kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege wa Julius Nyerere
‘Terminal III’. Majadiliano hayo yalifanyika katika Hotel ya Mills
Colonie Mjini Kigali Rwanda.

Mh.Saada
Mkuya Salum,Waziri wa Fedha akiagana na Mkurugenzi wa Benki ya HSBC
baada ya majadiliano yaliyofanyika katika Hotel ya Mills Colonie Kigali
Rwanda.

Mh.Saada
Salum Mkuya akiwa kwenye mazungumzo ya faragha na mratibu wa Mkoba Fund
Bi.Erika Rubin mara baada ya mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa
Muhabura Mjini Kigali Rwanda.

Waziri
wa Fedha Mh.Saada M.Salum akimsikiliza kwa makini Bi.Erika Rubin
mratibu wa mfuko wa Mkoba Fund wakati wa mkutano wao uliofanyika katika
Hotel ya Serena Mjini Kigali Rwanda. Kulia kwa Mh.Waziri ni Nd.Jovin
Rugemarila Afisa anayeshughulikia masuala ya ADB na mbele yake ni
Kamishina msaidizi wa Fedha za nje –Wizara ya Fedha Nd.Jarome Bureta.

Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedhda Dkt. Silvacius Likwilile akieleza kwa
muhtasari yale yaliyojadiliwa katika mikutano ya Benki ya maendeleo ya
Afrika inayoendelea Nchini Rwanda. Anayemhoji Katibu Mkuu ni mtangazaji
wa TBC Nd. Stanley Ganzel.
========
Waziri wa
Fedha Mh.Saada Mkuya Salum akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika Kusini Bw.Patrick Diamini (wa kwanza kushoto) Mjini
Kigali Rwanda. Mh.Waziri yupo Nchini Rwanda kuhudhuria Mkutano wa mwaka
wa Benki ya maendeleo ya Afrika.
Mh.Saada
M.Salum akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika ya Kusini (DBSA) Bw.Patrick Diamini (wa pili kushoto) baada ya
kikao kilichofanyika Mount Muhambara – Kigali Rwanda.
========
MH: WAZIRI WA FEDHA HAUDHURIA MKUATANO WA MWAKA WA BENKI YA MAENDELEAO YA AFRIKA (AfDB) UNAOFANYIKA MJINI KIGALI – RWANDA.



Waziri wa
Fedha Mh.Saada M.Salum akipata maelezo kutoka kwa Amir Shaikh –‘Chief
legal Council’ wa ‘African legal for Support Facilities’,wa kwanza kulia
ni Mkurugenzi Mkuu wa ‘African Legal for Support Facilities’ Bw.
Stephen Karangizi.
Post a Comment