Hii Ndio Trailer ya video mpya ya Nazizi – 254

Nazizi 1
Baada ya Nazizi kukaa kimya kwa mda mrefu bila kutoa video, hatimaye tarehe 24 ya mwezi huu ataachia video yake mpya. Video hiyo inayokwenda kwa jina la “254 ndio itakua nyimbo ya kwanza kutoka katika album yake mpya itakayojulikana kama ”EVO-LUSSION”
Unaweza tazama Trailer ya video hiyo hapa 

Post a Comment

أحدث أقدم