Kiwanda kikubwa zaidi cha saruji kuliko kingine chochote
duniani cha Dangote Cement Obajana Plant kutoka angani.

Kiwanda kikubwa zaidi cha saruji kuliko kingine chochote duniani cha Dangote Cement Obajana Plant kutoka angani

Sehemu ya kijiji jirani na kiwanda hicho

Kwa mbele ni malori yaliyopanga foleni kwenda kubeba saruji kiwandani hapo

Nyumba za wafanyakazi pamoja na mkanda wa kusafirisha mali ghafi toka machimboni

Machimbo ya kiwanda cha saruji cha Dangote

Malori zaidi yakiwa yanangoja zamu ya kwenda kupakia mzigo kiwandani

Ulinzi ni wa uhakika

Ndege binafsi za Dangote zikiwa zimepaki katika uwanja binafsi wa kiwanda hicho

Alhaj Dangote akiongea na mkuu wa polisi wa eneo hilo akiwa na binti yake Halima na mameneja wa kiwanda

Alhaj Dangote akiongea na Dada Esther, mmoja wa wasaidizi wake katika ujenzi wa kiwanda cha Mtwara

Sehemu ya mkanda wa kusafirisha mali ghafi toka machimboni hadi kiwandani

Sehemu ya malori yanayofanya kazi kiwandani hapo

Sheli ya kiwanda

Malori kazini

Sehemu ya machimbo

Kisima kirefu cha maji

Sehemu ya kiwanda

Silo na maghala ya malighafi


Moja ya benki 13 zilizofunga kambi kiwandani hapo

Tawi la benki ya Access kiwandani hapo

Sehemu ya maegesho ya malori


Mkanda wa malighafi

Sehemu ya kituo cha kuzalishia umeme


Baadhi ya wafanyakazi wa Kichina wakkitoka kupata mlo wa mchana

Malori yakiwa tayari kupeleka mzigo kunakohusika

Mixer

Seehemu ya kiwanda

Mmoja wa wasimamizi wa wafanyakazi kiwandani

Taswira ya sehemu ya kiwanda

Kiwanda

Foleni ya maori kuelekea kiwandani kubeba mzigo

Sehemu ya kiwanda

Ndani ya ghala la malighafi

Mkanda wa kuchukua malighafi toka machimboni

Bango la uzinduzi wa awamu ya kwanza na ya pili

Wahandisi wakifuatilia kila hatua ya uzalishaji kidigitali

Mitambo ya kufuatilia uzalishaji

Mhandisi kazini

Baadhi ya wafanyakazi waandamizi





Baadhi ya wafanyakazi baada ya kumaliza shifti


Alhaj
Aliko Dangote akiwapa maelekezo rubani na mhudumu wa ndege yake binafsi
katika uwanja wa ndege wa kiwanda chake cha saruji cha Obajana
إرسال تعليق