Hiki ndicho walichomfanyia Nyota Ndogo Kutoka Kenya

Mwanamuziki makubwa hapa Afrika Mashariki, Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya amejikuta katika wakati mugumu baada ya kugundua kuwa amerekodiwa video kwa siri wakati yupo chumbani anapaka mafuta huku akiwa MTUPU. Hii ilitokea baadaa kumaliza KUPAFOMU na kupelekwa CHANGING ROOM ambako ndiko video hii ilichukuliwa kwa siri.

Soma hapa alichoandika kwenye ukurasa wake wa FACEBOOK
Bofya Hapa

Post a Comment

Previous Post Next Post