HIVI NDIVYO DIAMOND NA DIMPOZ WALIVYOKINUKISHA BONGOUK/KLUB MALIBU - BAADA YA KUACHA HISTORIA USIKU WA JUZI CLUB BILLICANAS.
Hisia0
Hapa ni bump to bump Ommy Dimples akisugua gaga ni Jastina George live
on stage katika show iliyofanyika usiku wa tarehe 17. Ommy pamoja na
Diamond walikinukisha live bila chenga.
Hapa ni Flora Lyimo nae alijiweka kwa Diamond live on stage kiroho safi
إرسال تعليق