Hivi Ndivyo ISABELA alivyojidhalilisha kwa kunyanyua Nguo yake juu kwenye Sherehe

Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda.
Mbovumbovu za staa! Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi alivyo hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti nje bila kujali watu waliokuwa wakimshangaa.

Tukio hilo la kushangaza lilitokea Alhamisi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mawela uliopo Sinza, Dar ambako kulikuwa na kitchen party ya mwigizaji, Vanita Omary ambapo Isabela aliwashangaza watu baada ya kuacha nyeti nje. 

Post a Comment

أحدث أقدم