Hivi Ndivyo Wasanii walivyoinadi Kili Music Tour Moshi

20140523_143344
Wasanii mbalimbali wakiwa katika mahojiano ya redio ili kuitangaza ziara ya muziki ya Kilimanjaro (kilimanjaro Music Tour) ambapo show kubwa itafanyika katika Chuo Cha Ushirika Moshi kwa udhamini wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.wasanii hao walitembelea Kili Fm na Moshi Fm. Zaidi ya wasanii kumi maarufu nchini watatoa burudani ya aina yake katika show itakayoanza saa nne asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni.Huu ni mwanzo wa show takriban kumi zitakazofanyika katika mikoa mbalimbali.
20140523_151839 20140523_152347

Post a Comment

أحدث أقدم