Huyu ndio mama mzazi wa Cpwaa.. She looks young and so cute!!! Angalia Picha Hapa

31
Cpwaa na mama yake
 Mama mzazi wa Cpwaa (Aunt Sophie, kama anavyojulikana na wengine) ni mrembo na anaonekana kijana licha ya kuwa na mtoto mkubwa, Ilunga Khalifa. Rapper huyo amepost picha zake na mama yake wakiwa kwenye harusi ya ‘family friend’ hivi karibuni.

19
24
Hivi ndivyo marafiki wa Cpwaa wanavyosema:
Juliet Leodgard; she is so cute an lovely jamani
Ally Mohamed Diwani: Shez beautiful CP, u shud be very thankful dat she did the best with u am sure shez very proud ov u nyc pic
Gloria Kobb: Aunty Sophy jamani hazeeki! Still so beautiful, msalimie sana!
Mwamy Sir-Ed: Mmependeza sana ma mdogo still anadaije jamani mkwe inabidi ajipange sana
Picha: Pwaa.com

Post a Comment

Previous Post Next Post