Diamond Platnumz afunguka na kusema 'Sijatoa wimbo wowote mpya' Nashangaa __ Soma zaidi Hapa

 
10320592_734058296615987_8100202072456761249_n
Moja ya nyimbo zangu ambazo ziko store hazija toka nimeikuta mtandaoni na sijui imefikaje, tena ikiwa kwenye mfumo wa Voicenote, yaani haina quality kabisaa… Tafadhari, kwa yoyote atakaeipata Asiitumie kwenye media ama hadhara, kwasababu Haijatoka na haiko Qualified…. 

Kusikiliza Nyimbo hiyo Bofya Hapa

Post a Comment

Previous Post Next Post