MTV Base imemweka wazi msanii wa R’n’B wa Marekani, Miguel kuwa
ataungana na mastaa wa Afrika watakaotumbuiza kwenye MTV Africa Music
Awards 2014 (MAMA).

Tuzo hizo zitafanyika Jumamosi ya June, Durban, KwaZulu-Natal,
nchini Afrika Kusini na kurushwa live kupitia MTV Base na MTV. Wasanii
wengine watakaotumbuiza ni Mafikizolo, Flavour, Tiwa Savage, Davido na
Professor.
إرسال تعليق