HUYU NDIO MWANAJESHI ALIYEMPIGIA MAGOTI RAIS MUSEVENI


Mwanajeshi Nchini Uganda apiga magoti kumuomba Rais Museveni agombee tena Urais 2016. 

Museveni ameitawala Uganda toka mwaka 1986.

Post a Comment

أحدث أقدم