Mastaa wa muziki wa Marekani wanafahamika kwa desturi yao
kuwatambulisha wapenzi wao hadharani na kwenda nao kwenye matukio
mbalimbali. Tanzania ni tofauti hata hivyo. Ni mastaa wachache wenye
ujasiri wa kuwaweka hadharani wapenzi wao, mfano mzuri akiwa Diamond
Platnumz. Mastaa wengine akiwemo Ommy Dimpoz hawajawahi kuwatambulisha
wapenzi wao hadharani labda kama ni tetesi tu. Ommy Dimpoz ameshare
picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hata hivyo hajafafanua
kama ni mpenzi wake ama rafiki tu.
Girlfriend ama rafiki tu?
Post a Comment