HomeENTERTAINMENT JCB kuja na ‘Utatu Mtakatifu’ f/ Fid Q & Kalapina . Hisia May 01, 2014 0 Unakumbuka JCB alivyokinukisha kwenye ‘Ukisikia Paa’? Hivi karibuni rapper huyo wa Arusha ataleta tena action kwa kudondosha ngoma mpya aliyowashirikisha heavyweight mcees, Fid Q na Kalapina. Hili ni kava la single hiyo mpya.
Post a Comment