JCB kuja na ‘Utatu Mtakatifu’ f/ Fid Q & Kalapina .

4807350cd10411e39ec70002c9ded5c4_8
Unakumbuka JCB alivyokinukisha kwenye ‘Ukisikia Paa’? Hivi karibuni rapper huyo wa Arusha ataleta tena action kwa kudondosha ngoma mpya aliyowashirikisha heavyweight mcees, Fid Q na Kalapina. Hili ni kava la single hiyo mpya.

Post a Comment

أحدث أقدم