Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson
Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria
kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini leo
Mei 24, 2014

Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo
la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake
leo Mei 24, 2014
Post a Comment