May 22, 2014: Kulingana na gazeti la ‘Weeks’, Solange yupo mbioni
kuandika kitabu “TELL ALL BOOK” na anategemea kupata kiasi cha $20M.
Inasemekana Jay Z ni mtu ambae alikuwa anamdhalilisha, anamdanganya sana
Beyonce, na kikweli Beyonce hakuwa na mimba. Solange ameweza kueleza
yote hayo kuhusiana na familia hiyo na amesema amechoka sana kuigiza
kama mtoto wa pili kwa Beyonce 32, na sababu hiyo yupo tayari kufichua
siri zote kwa baba yao kuhusu jinsi Beyonce anavyokuwa kipofu juu ya
umalaya wa Jay Z. Inasemekana katika hiyo familia ya Knowles, Beyonce
anapendelewa kama dhahabu wakati Solange anaekwa chini na sasa amechoka
na yuko tayari kulipiza kisasi kwa Jay Z.
Post a Comment