
Katika Filamu hii Joti ameonyesha uwezo wake katika kuweza kucheza “character” tofauti kama wachezaji filamu wenye uwezi huo huko Hollywood ni kama Martin Lawrence, Eddy Murphy, Tyler Perry, Jammie Fox na Will Smith. Kazi ya kuweza kucheza sehemu mbili katika filamu moja lazima uweze kuwa na kipaji kikubwa sana. Katika filamu hii JOTI amecheza kama mzee, kijana na mwanamke pia.
Filamu hiyo itasambazwa na kampuni ya Proin Promotions ya jijini Dar Es Salaam.

إرسال تعليق