
Msanii kutoka nchini
Uganda ‘Kansiime Anne’ maarufu kwa uchekeshaji katika video clips nyingi
ambazo tutembea sana kwenye youtube na mitandao ya kijamii, msanii
huyo kashangaza watu baada ya kumsaliti rafiki yake na kwenda kumshtaki
kituoni, kwa dau la shilling 100,000. Vile vile inasemekana sio huyo
tu, kuna wengine zaidi ambao msanii huyo amewahi kuwafanyia hivyo kitu
ambacho sio kizuri na kibaya zaidi alipokutana na rafiki huyo bila hata
ya kuomba samahani kwa kufanya hivyo, alimuuliza kwa mshangao, “Kwanini
haupo gerezani, ulitakiwa huwe gerezani” kitu ambacho hakuona haya
kusema. angalia video ilivokua.


Post a Comment