Former Destiny’s Child member ‘Kelly Rowland’ afunga pingu za maisha na boyfriend wake ambae pia ni meneja wake ‘Tim Witherspoon’ week end iliyopita huko nchini Costa Rica. Mwanadada huyo akiwa ndani ya “White Silk Dress” akisindikizwa na mumewe akiwa ndani ya “White Suit”. Wapenzi hao wakina na furaha kabisa katika siku yao hiyo ambayo ni muhimu sana katika maisha huku rafiki wake wa karibu tokea utotoni Beyonce akiwa na mdogo wake Solange walihudhuria.


Post a Comment